Kwa Mlioko Dar Es Salaam, Mnaweza Kutembelea Ofisi Za TAESA, Kujisajili.
Hawa ni Wakala Wa Serikali ambao Huwatafutia Watu Internship, na huwa Wanalipa. Ikitokea Umebahatika Ukaenda Sehemu Nzuri ” Wanakuchukua Moja Kwa Moja”
Kwa Mlioko Mbali na Ofisi Za TAESA Mnaweza Kutuma Maombi Kupitia Email.
Email: info@taesa.go.tz
Kujisajili tembelea kwenye tovuti yao ambayo ni https://jobs.kazi.go.tz.
Ahsante