Jinsi ya Kujiunga TAESA Kupata Internship haraka

Kwa Mlioko Dar Es Salaam, Mnaweza Kutembelea Ofisi Za TAESA, Kujisajili.

Hawa ni Wakala Wa Serikali ambao Huwatafutia Watu Internship, na huwa Wanalipa. Ikitokea Umebahatika Ukaenda Sehemu Nzuri ” Wanakuchukua Moja Kwa Moja”

Kwa Mlioko Mbali na Ofisi Za TAESA Mnaweza Kutuma Maombi Kupitia Email.

Email: info@taesa.go.tz
Kujisajili tembelea kwenye tovuti yao ambayo ni https://jobs.kazi.go.tz.
Ahsante

Jukwaa Forum
Logo
Shopping cart